Jumatano, 15 Rajab 1446 | 2025/01/15
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:

Mkutano wa Wanahabari "Msimamo wa Hizb ut Tahrir kwa Njia ya Upuuzi wa Kisiasa nchini Tunisia"

Asubuhi ya Alhamisi, Januari 12, 2023, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilayah Tunisia ilifanya mkutano na waandishi wa habari chini ya kichwa: “Msimamo wa Hizb ut Tahrir kwa Njia ya Upuuzi wa Kisiasa nchini Tunisia”, ili kufafanua na kudhihirisha msimamo wake wa wazi juu ya njia ya makabiliano makali kati ya nguvu zinazotawala na upinzani juu ya mamlaka ambayo wakoloni makafiri wanawakabidhi, chini ya kivuli cha hali ya kuchanganyikiwa, ombwe la kimkakati, na kukosekana kwa ruwaza na mipango ya kisiasa.

- Video Kamili ya Amali ya Mkutano wa Waandishi wa Habari -

- Michangio ya Ustadh Khabib Kerbaka na Ustadh Abdel Raouf Al-Amiri Kufuatia Mkutano na Waandishi wa Habari -

Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu