Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:

Matembezi “Enyi, Jeshi la Misri, Kinana... Adui yuko Machoni pako... Amemwaga Damu yenu na Kuwaua Ndugu zenu, Umefika Wakati kwenu Kuchukua Hatua!”

Hizb ut-Tahrir/Wilayah Tunisia imeandaa matembezi kwa kichwa “Enyi, Jeshi la Misri, Kinana... Adui yuko Machoni pako... Amemwaga Damu yenu na Kuwaua Ndugu zenu, Umefika Wakati kwenu Kuchukua Hatua!” baada ya swala ya Ijumaa yaliyoanza kutoka Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu wa Tunis hadi barabara ya Al-Thawra kama ilivyo kila Ijumaa. Ni matembezi ya 33 mfululizo tangu kuzuka kwa vita vya mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu katika Ukanda wa Gaza katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina).

Hivyo basi, Hizb ut-Tahrir katika Wilayah ya Tunisia inaendeleza nusra yake kwa Gaza, kwani imeshaandaa matembezi 33 tangu kuanza kwa cheche za Kimbunga cha Al-Aqsa, na ina shauku kubwa ya kuukusanya umma na majeshi yake ili waweze kusimamisha Dola ya Kiislamu ambayo Mwenyezi Mungu amewafaradhishia, hivyo kuwaokoa wanadamu wote kutokana na dhulma na uhalifu wa Mayahudi na Makruseda wenye chuki wa Kimagharibi.

Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia

Ijumaa, 23 Dhu al-Qa’adah 1445 H sawia na 31 Mei 2024 M

- Mikutano ya Pembeni ya Video ya Amali ya Matembezi -

 

Kalima ya Ustadh Abdul Raouf Al-Amiri

Mkuu wa Afisi ya Kisiasa ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia

Wakati wa Matembezi ya Ukombozi ya Kuwanusuru Watu wa Palestina na Al-Aqsa Iliyotekwa Nyara

Kalima ya Ustadh Muhammad Ali bin Salem

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia

Wakati wa Matembezi ya Ukombozi ya Kuwanusuru Watu wa Palestina na Al-Aqsa Iliyotekwa Nyara

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu