Jumapili, 26 Rajab 1446 | 2025/01/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:

Matembezi ya Ukombozi “Gaza Inamwachia Mwenyezi Mungu Kiwango cha Usaliti jijini Riyadh na inataka Msaada kwa Umma na Majeshi yake!”

Matembezi ya hamsini na nane ya kunusuru Palestina na mateka Al-Aqsa, ambayo yaliandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, yalifanyika katika mji mkuu, Tunis, baada ya swala ya Ijumaa, chini ya kichwa Gaza Inamwachia Mwenyezi Mungu Kiwango cha Usaliti jijini Riyadh na inataka Msaada kwa Umma na Majeshi yake!” yalizunguka barabara kuu za mji mkuu zinazoelekea kwenye Barabara ya Al-Thawra, ambapo yalinyanyuliwa bango kuu ndani yake lililokuwa na kichwa cha matembezi hayo, na la pili liliandikwa idadi ya mashahidi, iliyofikia elfu 44, na hesabu ya waliojeruhiwa, iliyozidi 100,000 waliojeruhiwa, na wahudhuriaji watukufu walipaza sauti kwa kauli mbiu zikiwemo: Hapana kwa kosa la khiyana, enyi watawala walaghai.”, “Ewe askari, kuinusuru Gaza ni faradhi kwenu,” “Enyi maafisa, Mwenyezi Mungu awe mlinzi wenu Mlinzi bora na Msaidizi bora kabisa!” “Enyi maafisa, timizeni wajibu wenu Siku ya Kiyama Mwenyezi Mungu atakuhisabuni.”, Enyi wanazuoni wa Waislamu, uko wapi utu na iko wapi dini yenu?”, “Enyi wanazuoni timizeni wajibu wenu Siku ya Kiyama Mwenyezi Mungu atakuhisabuni.”, Matembezi hayo yalihitimishwa kwa hotuba iliyotolewa na mmoja wa mashababu wa Hizb ut Tahrir kuhusu kilele cha usaliti na khiyana kilichofanyika Riyadh. Na akaeleza kwamba Ruwaibidhah hawa kamwe hawatachipuza kutoka kwao isipokuwa khiyana na njama nyingi zaidi dhidi ya ndugu zetu wa Gaza, na hatua ya kwanza ambayo Umma huu lazima uichukue leo ni kuwaondoa watawala hawa wabaya kupitia kwa watu wenye ikhlasi katika Umma miongoni mwa majeshi ya Waislamu na kuandamana kuelekea Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) wakinyanyua bendera ya Uislamu, huku wakipiga takbira na tahlil kwa furaha na yakini kamili kwa nusra iliyoahidiwa wa Mwenyezi Mungu, kwa kusadikisha Hadith ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw): «لَتُقَاتِلُنَّ الْيَهُودَ فَلَتَقْتُلُنَّهُمْ حَتَّى يَقُولَ الْحَجَرُ يَا مُسْلِمُ هَذَا يَهُودِيٌّ فَتَعَالَ فَاقْتُلْهُ» “Kwa yakini mtapigana na Mayahudi, na kwa yakini mtawauwa mpaka jiwe liseme, Ewe Muislamu, huyu hapa Myahudi, basi njoo umuue.” Na hapo ndipo ardhi itakapong’aa kwa ushindi wa Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye uwezo, Mwenye hekima.

Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia

Ijumaa, 13 Jumada al-Awwal 1446 H sawia na 15 Novemba 2024 M

- Sehemu ya Amali ya Matembezi -

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Tovuti Rasmi ya Jarida la Tahrir

Ukurasa wa Facebook wa Jarida la Tahrir

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu