- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:
Kisimamo kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya miaka 14 ya Mapinduzi nchini Tunisia!
Kalima iliyotolewa na shab Muhammad Ali Al-Aouni kwenye Barabara ya Al-Thawra katika mji mkuu Tunis wakati wa kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Tunisia kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 14 ya mapinduzi nchini Tunisia.
Jumanne, 14 Rajab Tukufu 1446 H sawia na 14 Januari 2025 M
Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia