Jumamosi, 25 Rajab 1446 | 2025/01/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Ubelgiji:

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Ushiriki wa Hizb ut Tahrir/Ubelgiji katika amali za kampeni ya kilimwengu iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir yenye kichwa “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”kuwanusuru ndugu na dada zetu wafungwa wa kisiasa kwenye magereza maovu ya Uzbekistan kwa sababu tu wanasema [Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu].

Ijumaa, 13 Muharram 1446 H sawia na 19 Julai 2024 M

Kalima ya Dada Amatullah Hashimi

Kama sehemu ya Amali za Kampeni ya Kilimwengu

za Kuwanusuru Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan

Ijumaa, 13 Muharram 1446 H sawia na 19 Julai 2024 M

Alama Ishara za Kampeni

#صرخة_من_أوزبيكستان

#PleaFromUzbekistan

#ЎЗБЕКИСТОНДАН_ФАРЁД

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu