Jumanne, 07 Shawwal 1445 | 2024/04/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Kongamano la Kiuchumi Mjini Mersin "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa kiuchumi!"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano mjini Mersin ndani ya mfumo wa kampeni ya "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Migogoro ya Kiuchumi katika Nukta 10", ambapo kulikuwa na ushiriki watu wa Mersin kwa sababu za mzozo wa sasa wa kiuchumi na suluhisho lake kuu.

Kongamano hilo ambao liliwasilishwa na Ustadh Hassan Gümüş, lilifuatiwa na hotuba ya ufunguzi wa Ustadh Elias Kosem, kisha hotuba ikachukuliwa na Ustadh Musa Beyoglu, ambaye naye alielezea sababu halisi za migogoro tunayopitia na masuluhisho ya Kiislamu ambayo ndiyo tiba yake. Baada ya hapo, Ustadh Abdullah Imamoglu alishika nafasi hiyo, ambaye alisema Katika hotuba yake, “Je, bado tunatafuta suluhisho la mgogoro katika vitendo vya kikatili vya kirasilimali, au katika hukmu safi za Uislamu?

Kongamano hili ambalo lilifanyika Mersin lilisisitiza ukweli kwamba urasilimali umefilisika na kwamba wokovu pekee kwa wanadamu unaopambana na migogoro ya kimaadili na kiuchumi ya kirasilimali ni katika mfumo wa Kiislamu (Khilafah) na uchumi wa Kiislamu.

Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 27 Jumada al-Akhir 1443 H sawia na 30 Januari 2022 M

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Kokludegisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu