- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Halaqa ya Tatu ya Mjadala Mjini Ankara Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Ankara.
Katika mkutano huo uliofunguliwa na Ndugu Muhammad Mustafa Onok, Ustadh Suleiman Ugarlua (Mhariri Mkuu wa Jarida la Kokludegisim), aliwasilisha utafiti wenye mada "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi"
Baada ya uwasilishaji, kipindi cha maswali na majibu kilifanyika na maoni ya wageni yalisikilizwa juu ya suluhisho lililopendekezwa. Washiriki walitoa michango muhimu kwa maswali, na maoni yao, na ndugu Hakki Irin, Suleiman Ugurlu na Abdullah Imamoglu wote walijibu maswali kutoka kwa wahudhuriaji.
Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa
Jumatano, 29 Rajab Al-Muharram 1443 H sawia na 02 Machi 2022 M
https://hizb-ut-tahrir.info/sw/index.php/dawah/uturuki/2195.html#sigProIdbbfe8f9e50
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki