Jumapili, 14 Sha'aban 1445 | 2024/02/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Amali kwa Kichwa “Gaza Inakufa… Bomoeni Kuta na Mufungue Milango!”

 

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa wanaume na wa wanawake wa Kiislamu zaidi ya 100,000 hadi kufikia sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali kubwa za halaiki mbele ya ubalozi wa Misri katika mji wa Ankara na mbele ya msikiti wa Dargah katika mji wa Sanliurfa chini ya kichwa:

“Gaza Inakufa… Bomoeni Kuta na Mufungue Milango!”

Kuyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Jumapili, 16 Rajab Tukufu 1445 H sawia na 28 Januari 2023 M

 - Dondoo za Amali Hizo -

 

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu