Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Makala ya Filamu “Mustakabali wenye Bishara Njema kutoka Karne Iliyopotea!"

Kwa mnasaba wa miaka 103 H ya mkoloni kafiri, kwa msaada wa wasaliti wa Kiarabu na Kituruki, kuivunja dola ya Uislamu (Khilafah Uthmani) na kukomeshwa kwa mfumo wa utawala katika Uislamu (Khilafah) kutoka katika maisha ya Umma wa Kiislamu, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Uturuki ilitoa filamu ya makala yenye kichwa:

“Mustakabali wenye Bishara Njema kutoka Karne Iliyopotea!”

Ni video yenye umuhimu mkubwa, inayoangazia njama na hila zilizofanywa za kuivunja dola ya Kiislamu (Khilafah) iliyoasisiwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na maswahaba zake watukufu, Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na kisha kubainisha umuhimu wa umoja wa Waislamu katika umbo moja (Khilafah) linaloongozwa na kiongozi mmoja (Khalifa) Na kwamba bila shaka hili litatokea katika kuthibitisha maneno ya Mtume (saw), ثم تكون خلافة راشدة على منهاج النبوة “... Kisha itakuwepo Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.”

Jumapili, 22 Shaaban 1445 H sawia na 03 Machi 2024 M

- Alama Ishara za Amali -

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu