Sera ya Marekani ya Kuidhibiti China Imesimama Wapi kwa Sasa?
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Miongoni mwa mbinu zitumiwazo na Marekani ni kushambulia nchi adui ama pinzani kwa nguvu za kijeshi, kuangamiza ama kuihusuru. La ziada, Marekani hutua kwenye mbinu ya kisiasa na kiuchumi katika kile kiitwacho sera ya udhibiti.