Swala la Kashmir Linahitaji Ukombozi Kupitia Vikosi vya Kijeshi vya Pakistan, Wala Sio Ramani Mpya ya Kisiasa
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan, alizindua “ramani mpya ya kisiasa” ya Pakistan ambayo pia inajumuisha Kashmir Iliyokaliwa, siku moja kabla ya maadhimisho ya kwanza ya maamuzi ya India kukomesha kujitawala kwa eneo hilo.