Jumapili, 22 Muharram 1446 | 2024/07/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uongozi wa Taliban ulianzia Oslo ambako Wasaliti wa Shirika la Ukombozi wa Palestina (PLO) Walianzia. Uongozi wa Taliban Utaishia kwa kile ambacho PLO Ilimalizia Nacho, Usaliti Mkubwa dhidi ya Uislamu na Waislamu.

Wanadiplomasia wa Taliban na wa nchi za Magharibi wanafanya mkutano nje ya mji mkuu wa Norway Oslo kwa ajili ya mazungumzo yanayoangazia mgogoro wa kibinadamu wa Afghanistan, ambao umeongezeka kwa kasi tangu Agosti mwaka jana wakati Taliban iliporegea mamlakani miaka 20 baada ya kupinduliwa katika uvamizi ulioongozwa na Marekani.

Soma zaidi...

Wanawake wa Kiislamu Nchini India Watolewa Ofa ya Kuuzwa na Mabaniani Wenye Misimamo Mikali Kama Sehemu ya Muendelezo wa Utesaji Waislamu Nchini Humo

Katika wiki za hivi karibuni, kumekuwa na ghadhabu iliyoonyeshwa kwenye programu iliyoundwa na Mabaniani wenye misimamo mikali nchini India ambayo iliwaweka zaidi ya wanawake mia moja wa Kiislamu "katika mauzo" katika "mnada" ghushi.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu