Jumanne, 27 Shawwal 1447 | 2026/04/14
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu
kesho kutwa

kesho kutwa

Kuwahamasisha Watu Wenye Azma ya Kutimiza Faradhi Yao ya Shariah

Enyi ndugu na dada: tuna jukumu kubwa. Ni amana ya kueneza ujumbe wa Risaalah, kubeba Uislamu, na kusimamisha Uislamu kama mfumo kamili wa maisha kivitendo. Hili ni jukumu la Mitume (as) na urithi wa Mtume wetu mpendwa Muhammad (saw). Mwenyezi Mungu (swt) atatuuliza kuhusu kile tulichokabidhiwa, kwa hivyo tufanye kazi kwa ajili ya siku ambayo utajiri wala watoto hawatakuwa na faida yoyote, isipokuwa wale wanaomjia Mwenyezi Mungu (swt) kwa moyo safi.

Katikati ya Mashambulizi ya Marekani kwa ajili ya Kuhalalisha Mahusiano na Kusalim Amri! Ziara Nyingine ya Mara kwa Mara ya Mjumbe wa Marekani Ortagus nchini Lebanon!

Kwa kuzingatia mashambulizi ya Marekani dhidi ya Lebanon na eneo hili pamoja na mradi wa kuhalalisha mahusiano na kusalim amri, na juhudi za utawala wa Trump na timu yake kuwaleta watawala zaidi wa Waislamu katika Makubaliano ya Abraham, inakuja ziara ya mjumbe wa Marekani Morgan Ortagus nchini Lebanon na umbile nyakuzi la Kizayuni, iliyojaa shinikizo, vitisho, na hali za kisiasa, usalama, na kiuchumi zilizolazimishwa nchini Lebanon. Ziara hii iliambatana na ziara ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiarabu na Mkurugenzi wa Ujasusi wa Misri, ikionekana kutimiza lengo moja!

Mtu Anayehusika na Usalama wa Watu Anawezaje Kukimbia Akitafuta Usalama?!

Sudan News ilinukuu Darfur 24 katika ripoti moja yenye kichwa: “Kujiondoa kwa Uratibu au Kuanguka?! Makamanda na Maafisa wa Jeshi na Vikosi vya Pamoja Waondoka Al Fasher Siku Mbili Kabla ya Kuanguka Kwake,” ikisema: “Vyanzo viwili kutoka Darfur Kaskazini viliifichulia Darfur 24 kwamba makamanda wa jeshi, pamoja na wanachama wa vikosi vya pamoja, gavana wa Darfur Kaskazini, Al-Hafiz Bakhit, na wanachama kadhaa wa serikali yake, waliondoka Al Fasher siku mbili kabla ya Vikosi vya Msaada wa Haraka kutangaza udhibiti wao kamili wa makao makuu ya Kikosi cha 6 cha Wanajeshi Wapiganaji.”

Uvamizi wa Waliolaaniwa Haukomi Je, kuna kiongozi anayeongozwa na Mungu ambaye atakomesha

Uvamizi dhidi ya Gaza unajirudia kama kile ambacho afisi ya mhalifu Netanyahu ilikiita “mashambulizi makali katika Ukanda wa Gaza” (Al Jazeera), ikidai kwamba Hamas ilifanya shambulizi dhidi ya wanajeshi wake katika Ukanda wa Gaza na kujibu uvunjaji wa makubaliano ya kuregesha miili - ingawa Hamas ilikana uhusiano wake na tukio la ufyatuaji risasi (Al Jazeera). Umbile hilo liliwaua zaidi ya mashahidi hamsini ndani ya masaa, huku likidai kwamba mashambulizi hayo hayamaanishi kuvunjika kwa makubaliano ya kusitisha mapigano! Na Trump anathibitisha kwamba mashambulizi ya Mayahudi hayatahujumu usitishaji mapigano!

Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu