Pongezi Kutoka Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan kwa Sikukuu ya Eid al-Adha Iliyo Barikiwa ya Mwaka 1441 H, sawia 2020 M
- Imepeperushwa katika Jordan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Sifa njema zote ni kwa Mwenyezi Mungu (swt) na rehma na amani zimshukie Mtume wa Mwenyezi Mungu na jamaa zake na Maswahaba zake na wale wanaomfuata yeye (saw),



