Vichwa Vya Habari 13/06/2020
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Ni takriban muongo mmoja sasa baada ya Raisi Obama kuanza kuligombania bara la Asia. Uhasama kati ya Amerika na China umefikia kileleni.
Ni takriban muongo mmoja sasa baada ya Raisi Obama kuanza kuligombania bara la Asia. Uhasama kati ya Amerika na China umefikia kileleni.
Kiulimwengu na kindani nchini Pakistan, ni wazi kuwa Urasilimali upo katika mgogoro mbaya sana. Hata kabla ya mripuko wa maradhi ya Korona (Covid 19), mdororo wa kiuchumi ulikuwa wazi. Kote ulimwenguni, huduma za dharura za afya ya ummah zilikuwa mbovu na kuchukuliwa kama ni sehemu ya kinga kwa mdororo huo.
Waamerika wamefungiwa katika majumba yao kwa kuogopea kirusi kipya ambacho kimeuwa zaidi ya Waamerika 100,000 mwaka huu, lakini kifo cha mwanamume mmoja pekee mnamo Mei 25 kimewatoa barabarani kufanya maandamano,
Akihutubia bunge la Ulaya Jumatano 27 Mei 2020, Rais wa Tume ya Ulaya Ursula Von der Leyen alipendekeza kwamba Muungano wa Ulaya uchukuwe deni la €750 Bilioni ilikupeana €500 Bilioni kama ruzuku na €250 Bilioni