Miaka 97 ya Kuomboleza na Kutaabika Chini ya Idhilali ya Ukoloni wa Urasilimali
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kwa takriban miaka 1300 ya kuishi chini ya usimamizi wa Khilafah, Ummah huu ulifurahia amani, utulivu na ufanisi katika muda wote huo. Lakini, kila kitu kilikoma mnamo 28 Rajab 1342 H sawia na 3 Machi 1924 pindi wanafiki na wapatilizaji fursa walipotongozwa na thaqafa ya kikafiri na kuvutiwa na mfumo wake wa kimaisha wakiongozwa na Mustafa Kamal



