Kwa Kutumia FATF, Amerika Inadhibiti Sera yetu ya Ndani na Nje. Uhuru wa Kweli unaweza kupatikana pekee kwa Kukataa Nidhamu ya Kikoloni ya Kimataifa
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Utawala wa Bajwa-Imran unaendelea kuachana na maslahi ya Pakistan, kwa kujisalimisha kwa matakwa ya Amerika.



