Hizb ut Tahrir nchini Indonesia Yakemea Udhalimu wa Watawala wa Uzbekistan
- Imepeperushwa katika Uzbekistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Udhalimu wa dikteta Rais Karimov bado unaendelea. Kiongozi wa Hizb ut Tahrir nchini Uzbekistani alieleza kuwa mapema mwezi wa Februari wanachama wanne wa Hizb ut Tahrir walikufa; wawili katika jela ya Jasliq na mmoja ndani ya Andijan, na mmoja ndani ya Farghana.



