Raisi Mpya wa Somali Ametangaza kuwa Nchi yake ni “Eneo la Vita”
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Raisi mpya wa Somalia aliyechaguliwa hivi majuzi Mohamed Abdullah “Farmajo” ametangaza kuwa Somalia kuwa ni Eneo la Vita.
Raisi mpya wa Somalia aliyechaguliwa hivi majuzi Mohamed Abdullah “Farmajo” ametangaza kuwa Somalia kuwa ni Eneo la Vita.
Imenijia katika fahamu kwamba, jina hili Abdullah Abdullah, ambaye hakutaka kuliweka wazi jina lake la kweli, na ambaye amekuwa akikishambulia chama na uongozi wake,
Shule huru ya Kiislamuu inatafuta tathmini ya mahakama kuhusu kushindwa kwake katika kufaulu ukaguzi wa viwango vya ubora wa elimu kwa msingi kwamba katika maktaba yake kuna vipeperushi vyenye zaidi ya miaka 25 vikifafanua juu ya Kongamano la Khilafah lililo andaliwa na Hizb ut Tahrir nchini Uingereza mnamo 1994.
Shirika la misaada la Médecins Frontiéres, limeripoti kuwa zaidi ya nusu ya wasichana katika kambi ya wakimbizi wa Rohingya eneo la Cox's Bazar, Bangladesh ambao limewatibu baada ya kudhulimiwa kimapenzi na kubakwa nchini Myanmar wako chini ya umri wa miaka 18, na wengine wako chini ya miaka 10. Limeeleza kuwa mamia ya wasichana wa Rohingya wamepewa usaidizi wa kimatibabu na wa kisaikolojia katika kliniki yake mjini Kutupalong inayotibu wahanga wa dhulma za kijinsia lakini likasisitiza kuwa hao ni sehemu tu ya wale wanao amanika kudhulumiwa kimapenzi na kubakwa na majeshi katili ya kibudha tangu kutokea kwa kampeni ya mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa Rohingya mnamo Agosti