Amerika Inaisukuma Asia Kusini na Kusini Mashiriki Katika Ghasia, Huku Viongozi wa BRICS Wakiushutumu Uislamu!
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kuhusiana na kile kinachotutia wasiwasi katika ufafanuzi na majibu ya Tangazo la Xiamen lililo fanywa na nchi wanachama wa BRICS lililo tolewa kama nakala ya mwisho mnamo Jumatatu, 4 Septemba 2017,



