Marekani Kujitoa Kijeshi Syria; Kuna nini nyuma yake?
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Tangazo la Trump kuondosha jeshi ndani ya Syria limezua patashika ya upinzani ndani ya bunge la Congress, na hata kutoka kwa watu muhimu ndani ya Chama cha Republican.



