Jumamosi, 25 Rajab 1446 | 2025/01/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Al-Waqiyah TV: Silsila ya Ramadhan "Neno Zuri"

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wageni wa kurasa za Afisi Kuu ya Habari katika wakati wa mwezi uliobarikiwa wa Ramadhan 1442 H - 2021 M silsila mpya ya video ya vipindi vya Al-Waqiyah TV inayoitwa "Neno Zuri" iliyoandaliwa na kuwasilishwa na mashababu wa Hizb ut Tahrir. Silsila hii itazungumzia fahamu kadhaa za Kiislamu ambazo zinanyanyua nafsiya ya Muislamu.

Basi kuweni pamoja nasi ..

[Neno Zuri]

- Halaqa 1 -

Kuharakisha Kujifunga na Sheria!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Ustadh Muawiya Abdulwahab

Jumanne, 01 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 13 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 2 -

Jitoleeni kwa Quran wala Msiihame!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Mwadhama Sheikh Yusuf Makharza (Abu Al Hamam)

Jumatano, 02 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 14 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 3 -

Kumpenda Mwenyezi Mungu na Mtume Wake (saw)!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Mwadhama Sheikh Said Ridhwan (Abu Imad)

Alhamisi, 03 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 15 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 4 -

Kupenda na Kuchukia kwa Ajili ya Mwenyezi Mungu!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Ustadh Mkubwa Ahmad Al-Qasas

Ijumaa, 04 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 16 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 5 -

Shakhsiya ya Kiislamu!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Sheikh Adnan Mizyan

Jumamosi, 05 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 17 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 6 -

Umakinifu katika Haki!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Ustadh Muawiya Abdulwahab

Jumapili, 06 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 18 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 7 -

Yanayohitajika katika Kupenda kwa Ajili ya Mwenyezi Mungu!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Ustadh Mkubwa Ahmad Al-Qasas

Jumatatu, 07 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 19 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 8 -

Kushikamana na Tabia Njema - Sehemu 1

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Mwadhama Sheikh Said Ridhwan

Jumanne, 08 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 20 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 9 -

Msikate Tamaa na Rehma ya Mwenyezi Mungu!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Mwadhama Sheikh Yusuf Makharza (Abu Al Hamam)

Jumatano, 09 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 21 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 10 -

Subira Wakati wa Mitihani na Kuridhika na Qadhaa!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Sheikh Adnan Mizyan

Alhamisi, 10 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 22 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 11 -

Kushikamana na Tabia Njema - Sehemu 2

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Mwadhama Sheikh Said Ridhwan

Ijumaa, 11 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 23 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 12 -

Bishara Njema ni kwa Wageni!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Ustadh Mkubwa Ahmad Al-Qasas

Jumamosi, 12 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 24 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 13 -

Kulia kutokana na Kumuogopa Mwenyezi Mungu!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Ustadh Muawiya Abdulwahab

Jumapili, 13 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 25 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 14 -

Kwa Nini Mnasema Msiyo Yatenda!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Mwadhama Sheikh Said Ridhwan (Abu Imad)

Jumatatu, 14 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 26 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 15 -

Umakinifu katika Haki - Sehemu 2

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Ustadh Muawiya Abdulwahab

Jumanne, 15 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 27 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 16 -

Dua, Dhikr na Kuomba Msamaha!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Mwadhama Sheikh Said Ridhwan (Abu Imad)

Jumatano, 16 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 28 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 17 -

Kuachana na Tabia Mbaya - Sehemu 1

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Sheikh Ahmad Al-Hajj Ahmad

Alhamisi, 17 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 29 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 18 -

Mauti Yanatosha kuwa ni Mawaidha!

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Ustadh Muawiya Abdulwahab

Ijumaa, 18 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 30 Aprili 2021 M

[Neno Zuri]

- Halaqa 19 -

Adabu ya Kujadiliana - Sehemu 1

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Ustadh Adnan Mizyan

Jumamosi, 19 Ramadhan Al-Mubarak 1442 H sawia na 01 Mei 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu