Alhamisi, 13 Rajab 1442 | 2021/02/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Al-Waqiyah TV: Silsila za Ramadhan "Juu ya Uhalisia"

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwaletea wafuasi na wanao zuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari wakati wa Mwezi wa Ramadhan Ulio Barikiwa wa Mwaka 1441 H - 2020 M silsila ya video mpya katika vipindi vya Al-Waqiyah TV kwa anwani "Juu ya Uhalisia" zinazo tayarishwa na kuwasilishwa na Mhandisi Usama al-Thuwaini.

Silsila hii inatibu baadhi ya fahamu za kimakosa ambazo zimeenea katika baadhi za Mujtamaa kama Aswabiyya ya Uzalendo, au Ukabila na tumeichukua Kuwait kama mfano.

Basi kuweni pamoja nasi..

Usajili wa Kufuatilia Silsila hii -

Juu ya Uhalisia

Halaqa 1 -  

Mkuwaiti!
Mtayarishi na Mwasilishaji: Ustadh Mhandisi Usama al-Thuwaini

Jumatano 06 Ramadhan 1441 H sawia na 29 Aprili 2020 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatano, 20 Mei 2020 06:21

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu