Hizb ut Tahriri / Wilayah Syria: Kisimamo cha Mji wa Babka "Na ilikuwa ni haki juu yetu kuwanusuru Waumini"
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Babka viungani mwa Aleppo Magharibi kwa anwani "Na ilikuwa ni haki juu yetu kuwanusuru Waumini"