Jumatano, 21 Shawwal 1447 | 2026/04/08
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Amali kwa Mnasaba wa Idd ul-Fitr Iliyobarikiwa 1447 H

Katika siku ya tatu ya Idd al-Fitr Iliyobarikiwa, sawia na Jumamosi, 12 Machi 2026 M, mashababu wa Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan walikusanyika katika afisi ya hizb katikati mwa jiji la Khartoum ili kupeana salamu za Idd. Mkutano huo ulijumuisha mashababu kutoka kote Khartoum, Omdurman, Jabal Awliya, Kalakila, Nile Mashariki, na maeneo mengine. Walitoa pongezi zao kwa Idd iliyobarikiwa na kuelezea furaha yao ya kuonana baada ya miaka mingi ya vita.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Mkutano na Waandishi wa Habari “Vita dhidi ya Iran: Ukafiri ni Mila Moja, Na Waislamu ni Umma Mmoja”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliwasilisha taarifa kwa vyombo vya habari yenye hoja kumi kwa Umma wa Kiislamu wakati wa mkutano na waandishi wa habari, yenye kichwa cha habari: “Vita dhidi ya Iran: Ukafiri ni Mila Moja, Na Waislamu ni Umma Mmoja”

Soma zaidi...

Tangazo la Matokeo ya Uchunguzi wa Mwezi Mwandamo wa Shawwal 1447 H na Hongera kwa Idd Al-Fitr Iliyobarikiwa

Baada ya kuchunguza mwezi mwandamo wa Shawwal katika usiku huu mtukufu, usiku wa Alhamisi, kuonekana kwa mwezi mwandamo kumethibitishwa kwa kuonekana halali kisharia katika baadhi ya nchi za Waislamu. Kwa hivyo, kesho Alhamisi itakuwa siku ya kwanza ya mwezi wa Shawwal na siku ya kwanza ya Idd al-Fitr iliyobarikiwa.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu