Jumamosi, 25 Rajab 1446 | 2025/01/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Minbar ya Ummah: Utekaji Nyara wa Ujasusi wa Kituruki wa Mashababu wa Hizb ut-Tahrir katika Mji wa Azaz!

[Minbar ya Ummah]

- Kalima katika Barabara Kuu ya (M4) -

Utekaji Nyara wa Ujasusi wa Kituruki wa Mashababu wa Hizb ut-Tahrir katika Mji wa Azaz!

Iliyotolewa na Ndugu Samer Eid (Abu Ahmad)

Kuhusu uvamizi wa ujasusi wa Erdogan juu ya mashababu wa Hizb ut Tahrir katika mji wa Azaz na kuwatekwa nyara kwao kwa kuuhami utukufu wa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), na kutaka kwao kusimamishwa kwa Khilafah Rashida!

Jumapili, 09 Rajab 1442 H sawia na 21 Februari 2021 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu