Jumanne, 07 Shawwal 1445 | 2024/04/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Maandamano ya Deir Hassan "Fungeni Vivuko vya Upatanishi na Mufungue Mipaka!"

Maandamano yalianza baada ya Swala ya Ijumaa huko Deir Hassan dhidi ya kufungua vivuko pamoja na utawala wa kihalifu chini ya kauli mbiu "Fungeni Vivuko vya Upatanishi na Mufungue Mipaka!"

Ijumaa, 11 Rabi’ ul-Awwal 1444 H – 07 Oktoba 2022 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu