Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Afisi Kuu ya Habari

H.  10 Rajab 1441 Na: 1441 H / 13
M.  Alhamisi, 05 Machi 2020

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Khilafah Ikavunjwa … kwa hiyo Wanaoabudu Ng’ombe nchini India Wakawashinda nguvu “Ummah Bora Uliotolewa kwa Watu”...

Enyi Majeshi ya Waislamu kwa Nini Hamuchangamki?!

Tangu Februari 24, 2020, mji mkuu wa India, Delhi, umekuwa ukishuhudia mauaji yanayotekelezwa na wanaoabudu ng’ombe dhidi ya Waislamu. Zaidi ya Waislamu 40 wameuawa na zaidi ya 200 wamejeruhiwa. Kwani ilikuwa ni adhabu kwa Waislamu kwa kuandamana dhidi ya utekelezwaji wa Sheria ya Mabadiliko ya Uraia ya 2019. Ni wazi kwamba ushirikiano wa polisi na vikosi vya India pamoja na wahalifu ni dalili wazi ya chuki ya serikali ya India dhidi ya Waislamu, na wapambe wake walishuhudia mauaji na uchomaji wa kidhalimu uliotekelezwa na majangili wao dhidi ya Waislamu. Na hata kuwachochea kufanya hivyo. Mauaji ndani ya Delhi yalifanana na udhalimu wa Mauaji ya Gujarat yaliyotokea mnamo 2002 na kuua zaidi ya Waislamu 2,000. Wapiga kura ndani ya Delhi, mji mkuu walipiga kura dhidi ya BJP, chama kilipoteza viti 64 kati ya 72, ikijumuisha kushindwa kwa chama cha Bharatiya Janata Mala Kapil Mishra kilichoandaa mauaji kama kulipiza kisasi kwa kushinwda kwake. Mauaji yaliyotokea baada ya ilani ya saa 24 iliyotoka kwa Kapil Mishra kwenda kwa polisi wa Delhi ili kuwashinda nguvu waandamanaji wa sheria ya kiubaguzi na kueneza upotezaji uhai na uharibifu wa mali na misikiti.  Chuki dhidi ya Waislamu imekuwa ndio kilele cha dhamana ya magaidi Wahindu, ambao walikuwa makini kusambaza video zilizorekodiwa wakati wakitekeleza uhalifu wao pasi na hofu ya kuhesabiwa na sheria. Na hata polisi wakisimama bega kwa bega na magaidi Wahindu, pia wamekuwa wakionekana wakirekodi video za mauaji. Hii inaweka wazi muda wa utekelezaji wa mauaji haya ili kusadifiana na ziara ya Rais wa Amerika Trump ikijumuisha kauli ya Trump ya kutojali hali ya Waislamu nchini India na kutojali kwa Amerika kuhusiana na kuteswa kwa Waislamu, katika hotuba iliyotolewa mnamo Februari 24, 2020 katika Uwanja wa Motera ndani ya Ahmedabad. Trump alionyesha ni kiwango gani Amerika na India zinachukia Uislamu na Waislamu pale alipoweka wazi nia yake ya kuendelea na vita dhidhi ya kile alichokiita ‘Msimamo Mkali wa Kiislamu’ kwa kushirikiana na India na kuashiria Amerika kuishinda Dola ya Kiislamu. Msimamo wa Trump ulikuwa sambamba na mradi wa Amerika, ulioifanya India ni eneo lenye nguvu ya kuidhibiti Uchina na kuweka kikwazo dhidi ya kusimamishwa kwa Dola ya Khilafah.

Enyi Waislamu

Jueni ya kwamba demokrasia kubwa duniani imethibitisha kila mara kwamba nidhamu ya Kikafiri ya kidemokrasia haiwezi kuongoza nchi yao. Demokrasia inaruhusu wanaoiamini kuvuka mipaka ili kufaulisha maslahi ya warasilimali na kuwafurahisha wengi ili kuhakikisha kwamba wanaingia uongozini. Ilhali nidhamu ya utawala ya Uislamu, Khilafah, inasimama katika mipaka ya Mwenyezi Mungu (swt) na iko kwa ajili ya ustawi wa watu na sio kuridhisha na kufurahisha tabaka lolote na kulitenga jingine ndani ya jamii kwa hali yoyote ile itakavyotekelezwa.

Enyi Waislamu wa India

Jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu (swt) amezifunga Ajal na Rizq (uhai na riziki) zenu. Na Yeye (swt) ndiye Mbora wa Kutoa Riziki. Na Yeye (swt) amebadilishana na Waumini uhai wao na mali zao kwa Jannah. Hizi ni zama za mitihani ambapo munatakiwa kusimama kwa pamoja na kuwakabili Makafiri na Washirikina. Musitafute salama ndani ya usekula na demokrasia, kwa sababu pamoja na kuwa ni nidhamu ya kikafiri, imefeli na yeyote anayeifuata atakuwa ni katika waliofeli. Vilevile, utaifa haujawaletea manufaa yoyote. Bali mulichovuna ni chuki na ubaguzi kutokana nao. Mauaji na mauaji munayopitia kupitia mikono ya Wahindu ni ushahidi tosha kwa yale tunayo yasema.

Jukumu la kudumisha usalama wenu upo kwa serikali. Hata hivyo, serikali inapozembea katika kutekeleza wajibu wake basi wao wenyewe ndio wanaoshiriki kwa njia ya moja kwa moja au isiyokuwa ya moja kwa moja katika kuwaua na kuwadhuru nyinyi. Kwa hiyo, ni wajibu kwa Waislamu kulinda roho, mali na heshima yao kwa njia yoyote ile. Ni wajibu kwa mujibu wa Shari’ah. Nabii wa Mwenyezi Mungu (saw) alisema: «مَنْ قُتِلَ دُونَ مَالِهِ فَهُوَ شَهِيدٌ وَمَنْ قُتِلَ دُونَ أَهْلِهِ أَوْ دُونَ دَمِهِ أَوْ دُونَ دِينِهِ فَهُوَ شَهِيدٌ» “Yeyote atakayeuawa akiwa anatetea mali yake, ni shahidi. Yeyote atakayeuawa akiwa anailinda familia yake, ni shahidi. Yeyote atakayeuawa akiwa anailinda dini yake, ni shahidi. Yeyote atakayeuawa akiwa anajilinda mwenyewe, ni shahidi.” (Sunan Abu Dawood)

Enyi Majeshi nchini Pakistan, Bangladesh na nchi nyingine za Waislamu:

Damu haikuchemka katika mishipa yenu pale mulipowaona wanaoabudu ng’ombe na masanamu wakiwadhuru kaka na dada zenu Waislamu na kukiuka heshima yao ilhali mumefungwa ndani ya kambi zenu mipakani, je Delhi na Lahore hazimo ndani ya Pakistan katika eneo la Punjab haswa?! Kwani hamusomi maneno ya Mwenyezi Mungu (swt), [وَإِنِ    اسْتَنْصَرُوكُمْ فِي الدِّينِ فَعَلَيْكُمُ النَّصْرُ] “Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia.” Kwani munawaheshimu watawala wanaodhuru na kukubali migawanyiko ya Uingereza ndani ya Waislamu na hamuitikii maneno ya Nabii wa Mwenyezi Mungu (saw)?

Nabii wa Mwenyezi Mungu (saw) alisema: «الْمُسْلِمُونَ تَتَكَافَأُ دِمَاؤُهُمْ يَسْعَى بِذِمَّتِهِمْ أَدْنَاهُمْ وَيُجِيرُ عَلَيْهِمْ أَقْصَاهُمْ   وَهُمْ يَدٌ عَلَى مَنْ سِوَاهُمْ يَرُدُّ مُشِدُّهُمْ عَلَى مُضْعِفِهِمْ وَمُتَسَرِّيهِمْ عَلَى قَاعِدِهِمْ لَا يُقْتَلُ مُؤْمِنٌ بِكَافِرٍ وَلَا ذُو عَهْدٍ فِي عَهْدِهِ»“Waislamu wako sawa ukizingatia damu. Wachini katika wao anastahiki ulinzi kwa niaba yao, na anayeishi mbali anaweza kutoa ulinzi kwa niaba yao. Ni sawa na mkono mmoja dhidi ya wote walioko nje ya jamii. Wale walio na vipando vya haraka wawarudie walio na vipando vya polepole, na wale waliotoka nje na kikundi (lazima warudi) kwa wale walioko kituoni. Muumini hatouawa kwa ajili ya kafiri, wala mshirika wake aliyeko katika ushirika naye.” (Sunan Abu Dawud).

Khilafah Rashidah kwa njia Utume, itakayosimamishwa hivi karibuni, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, itaihesabu Amerika na India na yeyote yule aliyefanya uhalifu dhidi ya Uislamu na Waislamu, na adhabu ya Akhera ni kubwa zaidi lau wangelikuwa wanafahamu!

[[إِنَّ بَطْشَ رَبِّكَ لَشَدِيدٌ Hakika kutesa kwa Mola wako Mlezi ni kukali.” [Al-Buruj: 12] 

Mha. Salah Eddine Adada
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

 أقيموا_الخلافة#TurudisheniKhilafah   #YenidenHilafet     

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Afisi Kuu ya Habari
Address & Website
Al-Mazraa P.O. Box. 14-5010 Beirut- Lebanon
Tel: 00961 1 30 75 94 Mobile: 00961 71 72 40 43
www.hizb-ut-tahrir.info
Fax: Telefax
E-Mail: media (at) hizb-ut-tahrir.info

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu