Jumamosi, 28 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mithili ya Demokrasia ya Kisekula, Mahakama za Kisekula ni Walinzi wa Riba, Zihakikisha Kesi ya Kutaka Kukomeshwa kwa Riba Inazungushwa Miduara. Kukomeshwa kwa Riba Kunawezekana tu chini ya Khilafah Pekee, kuanzia Siku ya Kusimamishwa Kwake

Waislamu wameghadhabishwa kwamba uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Sheria ya Majimbo wa kuondoa riba kutoka kwa uchumi wa Pakistan kwa mara nyingine tena umepingwa katika Mahakama ya Upeo, ambako kesi hiyo ilikuwa inasubiri uhakiki kwa miaka ishirini tayari.

Soma zaidi...

Huku Watu Walioathiriwa na Mafuriko Wakililia Chakula na Makaazi, Serikali ya Hasina Yawalazimisha Watu Kusherehekea Uzinduzi wa Mradi wake wa Uporaji Mkubwa wa Daraja la Padma - Ikifichua ‘Muujiza wa Maendeleo’ wa Mfumo Mbovu wa Utawala wa Kirasilim

Takriban nusu ya Bangladesh sasa iko katika mshiko wa mafuriko mabaya zaidi kuwahi kutokea kutokana na kuteremka kwa maji mengi sana ya mvua masika kutoka kwenye vilima vinavyozunguka eneo la Meghalaya nchini India.

Soma zaidi...

Mheshimiwa Al-Ustadh Ahmed Muhammad Al-Faqir Al-Ajarmah (Abu Asim) Mmoja wa Mashababu wa Kizazi cha Kwanza cha Hizb ut Tahrir

Kwa nyoyo zenye subira na kuridhia, Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Jordan inamuomboleza kwa familia nchini Jordan na Ummah wa Kiislamu, mbebaji da’wah, mmoja wa mashababu wake wema, wasafi na wachamungu, wala hatumtakasi yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu, kutoka kizazi cha kwanza cha Hizb ut Tahrir, Ustadh mheshimiwa:

Soma zaidi...

Iraq: Kutoka kwenye Kizingiti cha Kisiasa Hadi kwenye Mporomoko wa Kisiasa

Baada ya mapambano, ushindani na mizozo kwa zaidi ya miezi 7, kiongozi wa vuguvugu la Sadri, Muqtada al-Sadr, alitangaza kujiuzulu kwa wabunge wa kambi yake kubwa zaidi ya bunge katika bunge la Iraq, ambao idadi yao ni 73, dhidi ya msingi wa mwendelezo wa Mfumo wa Uratibu - unaojumuisha vikosi vya kisiasa vya Kishia vilevile - na kuzuia uundaji wa serikali ya kitaifa ya wengi kabla ya hapo.

Soma zaidi...

Na kwa Amos Hochstein Zinakuja Habari Halisi!

Mnamo Jumanne, Juni 14, 2022, Gazeti la Al Joumhouria lilichapisha habari kwenye tovuti yake yenye kichwa "Hockstein atangaza: Jibu la Lebanon lasukuma mazungumzo mbele," ambacho ni dondoo ya mahojiano ya kipekee na mpatanishi wa Marekani katika faili ya kuweka mipaka ya mafuta ya baharini kati ya Lebanon na umbile la Kiyahudi, Amos Hochstein, na Chaneli ya Al-Hurra.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu