Kuuawa kwa Mbebaji Ulinganizi Mkweli Omar Faruq ni Onyo Dhahiri kwa Ummah kwamba Uislamu na Waislamu Daima Watabaki bila ya Ulinzi chini ya Watawala wa Kisekula
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh inatoa rambi rambi zake za dhati kwa Waislamu waliofiwa wa wilaya ya mbali ya milima ya Bandarban ya Bangladesh ambao wamempoteza kiongozi wao mhamasishaji Omar Faruk Tripura, Mwislamu mwenye umri wa miaka 55 aliyeuawa mbele ya nyumba yake kama shahidi (inshaAllah) mikononi mwa maadui wa Uislamu.