Hizb ut Tahrir/ Wilayah Bangladesh iliandaa Maandamano dhidi ya Ongezeko Lisilo na Kifani na la Kitatili la Bei ya Mafuta Lililofanywa na Serikali kwa Ushirikiano na IMF
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Leo Ijumaa (Agosti 11, 2022) baada ya swala ya Ijumaa Hizb ut Tahrir/ Wilayah Bangladesh iliandaa mikusanyiko ya maandamano katika majengo ya misikiti mbalimbali jijini Dhaka na Chittagong, chini ya kichwa: “Kwa Ushirikiano na IMF, Serikali bila huruma imeongeza Bei ya Mafuta; Ukombozi wetu kutokana na Kutawaliwa Kiuchumi na Dola za Kimagharibi za Kikafiri unawezekana tu chini ya Khilafah”.