Mashujaa wa Utawala wa Misri Hawaelekezwi Dhidi ya Umbile la Kiyahudi Badala yake Unaendelea na Juhudi zake katika Kuzingira, Kunyima Chakula, na Kuua Watu wa Gaza!
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani iliitaka Misri mnamo siku ya Jumatano kufanya kila iwezalo kuhakikisha mtiririko wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Wakati huo huo, Cairo ilieleza kuwepo kwa chama cha Kipalestina katika kivuko cha Rafah ili kupokea msaada huo.