Alhamisi, 28 Jumada al-thani 1447 | 2025/12/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Urasilimali Umezigeuza Hospitali kuwa Mapango ya Mauti!

Mgomo unaoendelea wa madaktari na wauguzi sasa unaingia wiki yake ya pili, ukiwaacha wagonjwa wasio na hatia kufariki bila ya huduma katika hospitali zote za umma. Lengo kuu nyuma ya mgomo huu, ni kuilazimisha serikali kutekeleza makubaliano ya 2013 ya kuwalipa madaktari mabaki ya malipo yao pamoja na nyongeza ya asilimia 300 kwa mishahara yao.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Sweden: Amali Zilizo Andaliwa kipindi cha Kampeni ya Kulimwengu, “Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!”

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hvijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Sweden: Maandamano ya Kuwaunga mkono Ndugu zetu Waislamu wa Turkestan Mashariki

Hizb ut Tahrir nchini Sweden iliandaa maandamano mbele ya Ubalozi wa Uchina kupinga mateso na ubaguzi unaofanywa na Utawala wa Kikomunisti wa Uchina kwa Waislamu Wauighur Turkestan Mashariki. Mfanyakazi wa Ubalozi wa Uchina alifungulia mziki kwa sauti ya juu sana kupitia spika za sauti ili kuvuruga maandamano licha ya polisi kuwaonya wazime mziki.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu