Jumatano, 15 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Jaribio la Kutapatapa la Kundi la BRICS la Ukombozi kutokana na Mfumo wa Kimagharibi Uislamu Pekee ndio Unaweza Kuukomboa Ulimwengu kutokana Utawala wa Magharibi

Shirika la Habari la Reuters liliripoti, “JOHANNESBURG, Agosti 24 (Reuters) - Wakati mwanauchumi wa Uingereza alipounda neno fupi la BRIC miongo miwili iliyopita ili kuashiria Brazil, Urusi, India na China, hakuwa akilini mwake na muungano ambao ungejaribu kupinga utawala wa Magharibi katika masuala ya kilimwengu...

Soma zaidi...

Kuporomoka kwa Jamii ni Mojawapo ya Matunda Machungu ya Mfumo wa Kibepari!

Matumizi ya dawa za mfadhaiko kwa kila mtu nchini Uturuki yaliongezeka kwa asilimia 76 katika kipindi cha miaka 12 iliyopita. Katika miaka 2 iliyopita, mauzo yaliongezeka kwa masanduku milioni 10. Uuzaji wa masanduku milioni 49 na elfu 857 ya dawa za mfadhaiko mnamo 2019 uliongezeka hadi masanduku milioni 54 na elfu 625 mnamo 2020 na masanduku milioni 59 na elfu  641mnamo 2021.

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Mabalozi katika Uislamu

Nina swali kuhusiana na rasimu ya katiba ya Hizb. Katika ibara ya 7 kifungu cha F inasema: "Dola itatabikisha hukmu zote za Sharia na mambo yote ya Shari'ah ya Kiislamu, kama vile miamala, kanuni za adhabu, ushahidi, mifumo ya utawala na uchumi miongoni mwa mengine kwa usawa juu ya Waislamu na Wasiokuwa Waislamu, Dola pia itatabikisha hayo hayo juu ya wale walio na mkataba, wanaomba hifadhi na wale wote walio chini ya mamlaka ya Uislamu kwa njia hiyo hiyo.

Soma zaidi...

Hotuba ya Modi Siku ya Uhuru wa India ni Tangazo Kuhusu Kuchukua Uongozi wa Kanda. Ima Tusimamishe Khilafah au Tuwe Watumwa wa Dola ya Kibaniani

Akizungumza katika Siku ya Uhuru wa Dola ya Kibaniani, Mchinjaji wa Gujarat na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, alisema, "Sote tunajua kwamba nchi yetu ilivamiwa (na Waislamu) miaka 1200 iliyopita. Jimbo dogo (Sindh) na mfalme wake (Raja Dahir) walishindwa.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu