Alhamisi, 20 Muharram 1444 | 2022/08/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ondoeni Demokrasia na Msimamishe Khilafah kwa ajili ya Mabadiliko ya Kweli, kwa Kutabikisha Yale Yote Aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu (swt)

Shina la matatizo yetu sio ni nani anayetutawala, bali ni kipi anachotutawala nacho. Maadamu Pakistan inatawaliwa na sheria zilizotungwa na mwanadamu chini ya Demokrasia, badala ya Shariah iliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt) chini ya Khilafah, kamwe hatutaona mabadiliko ya kweli.

Soma zaidi...

Khilafah Pekee Ndiyo Itatuondoa kutoka kwa Mfumo wa Kikoloni wa Kiulimwenguni Inaohakikisha kuwa Hifadhi ya Pakistan yenye Thamani ya Reko Diq Inakabidhiwa Wakoloni wa Magharibi.

Upanga wa mfumo wa kimataifa umewekwa kwenye shingo ya Pakistan ili kuinyima umiliki wake kamili wa hifadhi kubwa ya dhahabu na shaba huko Reko Diq, ukikabidhi haki nyingi za umiliki kwa Kampuni ya kisasa ya India Mashariki.

Soma zaidi...

Kupitishwa kwa Mswada wa Marekebisho wa SBP Kunabainisha kuwa Vyama vyote vya Kidemokrasia Vinalinda Maslahi ya Wakoloni.

Iwe ni kupitishwa kwa Mswada wa Marekebisho wa SBP, bajeti ndogo iliyoagizwa na IMF, sheria inayoendeshwa na FATF au sheria inayotoa haki ya kukata rufaa kwa Kulbhushan Jadhav, sasa ni wazi kwamba uongozi wote wa kidemokrasia, iwe katika kutawala au katika upinzani, wako kwenye ukurasa mmoja kuhusiana na kutimiza matakwa ya ukoloni wa kimataifa.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu