Ijumaa, 27 Shawwal 1443 | 2022/05/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Utegemezi wa Watawala wa Pakistan juu ya Dola za Wakoloni, Haswa Amerika, ndicho Kikwazo kwa Utawala wa Uislamu wa Kieneo na Kiulimwenguni.

Wapiganaji elfu chache, wenye silaha duni, wa upinzaji wa Afghanistan sasa wamewekwa nje kidogo ya Kabul, wakiwa tayari kukizika kiburi cha dola ya tatu ya wakoloni katika makaburi ya himaya, chini ya ardhi iliyomwagiliwa na damu safi ya majeshi ya mashahidi,

Soma zaidi...

Iwe ni Ufungaji Kijanja au Kamilifu, Serikali ya Federali na Sindh ni Nukta za Kujishindia Alama za Kisiasa juu ya virusi vya Korona, Huku Zote Zikiwa Haziangalii Mahitaji ya Kiafya na Kiuchumi ya Waislamu

Mnamo 30 Julai 2021, Waziri Mkuu wa Sindh alitangaza kuifunga kwa ghafla Karachi kwa siku tisa, jiji kubwa zaidi la Waislamu ulimwenguni, lenye idadi ya watu inayokadiriwa kuwa zaidi ya milioni ishirini, akidai kwamba ililenga kudhibiti kuenea kwa virusi vya Korona aina ya Delta.

Soma zaidi...

Dola ya Kibaniani kwa Ujasiri Imevihamisha Vikosi Hadi Mpaka Wake na China, Ikiwa na Hakika kuwa Watawala wa Sasa wa Pakistan Kamwe Hawatapigana Kuikomboa Kashmir Iliyokaliwa

Mnamo 28 Juni 2021, Bloomberg iliripoti kwamba India imeelekeza angalau vikosi 50,000 vya ziada mpakani mwake na China, na kuongeza uwepo wa askari huko hadi 200,000, juu na zaidi ya asilimia 40 kutoka mwaka jana, katika mabadiliko ya kihistoria katika msimamo wa kijeshi wa kiushambulizi.

Soma zaidi...

Kwa Kuifungulia Anga na Bahari Amerika, Serikali ya Bajwa-Imran Yatekeleza Dori ya Mwajiriwa wa Kati na Kati wa Kusahilisha Maslahi ya Amerika Nchini Afghanistan

Waislamu wa Pakistan na vikosi vyao vya kijeshi wanapinga dori ya serikali ya Bajwa-Imran ya kuwa mwajiriwa mwenye kusahilishia jeshi la Amerika nchini Afghanistan, pamoja na idhini yake kuifungulia Amerika anga na bahari ili kuweza kusaidia uwepo wake wa kimsalaba nchini Afghanistan.

Soma zaidi...

Huku Ikidhikika kati ya Pande Mbili, Dola ya Kibaniani Imepoteza Ukuu Wake wa Kiidadi, Ilhali, Watawala wa Pakistan Wanaipa Ofa ya Amani Badala ya Kupigana kwa Ajili ya Kuikomboa Kashmir Iliyokaliwa!

Mnamo tarehe 24 Aprili 2021, Jenerali Bajwa alikuwa na mazungumzo ya masaa saba na wanahabari, akifichua diplomasia ya mlango wa nyuma kati ya maafisa wa ujasusi wa Pakistan na India.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu