Jumapili, 22 Muharram 1446 | 2024/07/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  24 Rabi' I 1443 Na: HTS 1443 / 09
M.  Jumapili, 31 Oktoba 2021

 Ualishi wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
(Imetafsiriwa)

Ni furasa kwetu sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan kuwaalika ndugu zetu wataalam wa habari, wanasiasa, wasomi na wanamaoni kuhudhuria na kushiriki katika Kikao cha Kadhia za Umma cha kila mwezi, ili kujadili masuala ya hivi sasa kwa anwani:

Hali ya Kisiasa nchini Sudan Dhidi ya Mazingira ya Maamuzi ya Al-Burhan

Wazungumzaji katika kikao:

1- Ustadh Suleiman Abdul Haiy Ad-Disees – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir
2- Dkt. Mohammed Abdulrahman – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir

Mwendesha Jukwaa: Mhandishi Ahmad Jaafar – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan - Khartoum Mashariki/ Barabara ya Al-Mak Nimr Magharibi makutano ya Barabara ya 21 Oktoba

Tarehe: Jumamosi, 1 Rabi’ Al-Thani 1443 H sawia na 06/11/2021 M saa 11 AM

Wale ambao hawataweza kuhudhuria wanaweza kutufwatilia katika mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSUDAN

Chaneli ya YouTube ya Hizb: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Uwepo wako ni heshima kwetu na utanogesha mazungumzo.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu