Ijumaa, 25 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  27 Sha'aban 1445 Na: HTS 1445 / 38
M.  Jumatatu, 06 Mei 2024

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan Wakutana na Ustadh Al-Taher Hassan Al-Mohami
(Imetafsiriwa)

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan ulikutana, chini ya uongozi wa Ustadh Suleiman Al-Dasis, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir, na wanachama Ustadh Ahmed Abkar Al-Mohami, Mjumbe wa Baraza la Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan, na Ustadh Abdullah Ismail, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir. Ujumbe huo mnamo Jumapili, tarehe 26 Shawwal 1445 H sawia na 05/05/2024 M, ulikutana na Ustadh Al-Taher Hassan Al-Mohami, afisini kwake Port Sudan.

Ujumbe huo ulieleza kuwa Hizb inafanya kazi miongoni na pamoja na Ummah, kuuchukua Uislamu kuwa ndio njia yake, na kuuongoza kuhukumu kwa yale yote aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu kupitia kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, na kwamba hii ni moja ya wajibu muhimu zaidi, hasa kwa wanachama makini na walioelimika wa Umma wa Kiislamu. Ziara hii ilikuja kutuelimisha kwa lengo hili kubwa.

Ustadh Al-Taher alilipokea fikra hiyo na kuipongeza, na kuushukuru ujumbe kwa ziara hiyo.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

2024 05 06 Sudan OS 4 Pic

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu