Jumatatu, 25 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  18 Rabi' II 1446 Na: HTS 1446 / 15
M.  Jumatatu, 21 Oktoba 2024

Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano wa Waandishi wa Habari

(Imetafsiriwa)

Kwa ndugu zetu waheshimiwa; waandishi wa habari na vyombo mbalimbali vya habari, iwe ni magazeti, redio au runinga:

Sisi, katika Hizb utTahrir / Wilayah Sudan, tunafurahi kuwaalika kuhudhuria mkutano wa waandishi wa habari wenye mada:

Makubaliano ya Entebbe, Bwawa la An-Nahda, na Uzembe wa Watawala Kuelekea Maslahi Muhimu ya Ummah

Mzungumzaji katika mkutano huo atakuwa ni msemaji rasmi wa Hizb utTahrir katika Wilaya ya Sudan, Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil).

Tarehe: Jumamosi, tarehe 23 Rabi' al-Akhir 1446 H, sawia na 26/10/2024 M, saa 1:00 Mchana, InshaAllah.

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan mjini Port Sudan - Wilaya ya Al-Athama - Mashariki mwa Uga.

Uwepo na ushiriki wenu ni heshima kwetu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 0912240143- 0912377707
http://www.hizb-sudan.org/
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu