Alhamisi, 24 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  19 Jumada I 1446 Na: HTS 1446 / 24
M.  Alhamisi, 21 Novemba 2024

Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari
(Imetafsiriwa)

Kwa waheshimiwa wanahabari na vyombo vya habari, magazeti, redio au runinga:

Tunafuraha kukualikeni kuhudhuria mkutano wa waandishi wa habari ulioandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan chini ya kichwa:

“Ufanisi wa Makongamano ya Kiuchumi katika Kushughulikia Mgogoro wa Kiuchumi wa Kimuundo”

Mkutano huo utawasilishwa na Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil), Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan.

Tarehe: Jumamosi, 21 Jumada al-Awwal 1446 H, sawia na 23/11/2024 M, adhuhuri, Insha’Allah.

Mahali: Afisi ya Hizb utTahrir / Wilayah Sudan mjini Port Sudan - kitongoji cha Al-Athama - Mashariki mwa Uwanja.

Uwepo wenu na ushiriki wenu ni heshima kwetu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 0912240143- 0912377707
http://www.hizb-sudan.org/
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu