Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
| H. 23 Rabi' II 1447 | Na: HTS 1447 / 43 |
| M. Jumatano, 15 Oktoba 2025 |
Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari
(Imetafsiriwa)
Sisi, katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, tunafuraha kuwaalika ndugu wanahabari, wanasiasa, na wale wanaopenda masuala ya umma kuhudhuria mkutano na waandishi wa habari ambapo msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan atazungumza, wenye kichwa:
Mkanganyiko wa Serikali Kuhusu Jinsi ya Kudhibiti Miamala ya Dhahabu
Wakati: Jumamosi, 26 Rabi' al-Akhar 1447 H sawia na 18 Oktoba 2025 M saa 1 Adhuhuri. Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, Port Sudan - Wilaya ya Al-Azma - Mashariki mwa Uga wa Port Sudan.
Uwepo wenu unanogesha mazungumzo.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
| Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |



