Alhamisi, 24 Jumada al-awwal 1445 | 2023/12/07
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Uturuki

H.  27 Rajab 1444 Na: 1444 / 10
M.  Jumamosi, 18 Februari 2023

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Yawaomboleza Mashababu wake Wawili Waaminifu
Hanafi Salman na Bahauddin Anghai
Na Mmoja wa Dada zake wenye Ikhlasi Maqbula Yakar Angay
(Imetafsiriwa)

Katika tetemeko la ardhi tulilolishuhudiwa mnamo Jumatatu, Februari 6, 2023, wawili wa Mashababu wetu waaminifu na mmoja wa dada zetu wema walibaki chini ya kifusi hadi waliposalimisha roho zao kwa Mwingi wa Rehema, nao ni: Hanafi Salman huko Kahramanmaraş, Bahauddin Angay huko Hatay, na Maqbula Yakar Angay pia huko Hatay.

(إِنَّا لِلَّهِ وإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ)

Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea.” [Al-Baqarah 2:156]

Twamuomba Mwenyezi Mungu awabariki ndugu zetu kwa rehema zake na awakubalie kuwa mashahidi huko Akhera kama alivyotwambia Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw). Pia twamuomba Mwenyezi Mungu awape subira na faraja familia zao, wapendwa wao na jamaa zao wote.

(إِنَّمَا يُوَفَّى الصَّابِرُونَ أَجْرَهُمْ بِغَيْرِ حِسَابٍ)

Hakika wenye subira watapewa ujira wao bila ya hisabu.” [Az-Zumar 39:10]

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Uturuki

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Uturuki
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu