Jumamosi, 21 Muharram 1446 | 2024/07/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Baada ya Kura ya Maoni, ni zamu ya Uchaguzi wa Rais

Kwa mujibu wa amri ya Rais wa Uzbekistan, uchaguzi wa mapema wa rais ulipangwa kufanyika Julai 9, 2023. Amri hiyo inasema: “Kulingana na Ibara ya 110 na 128 ya Katiba ya Jamhuri ya Uzbekistan na Kifungu cha 66 cha Kanuni za Uchaguzi za Jamhuri ya Uzbekistan, uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Uzbekistan umepangwa kufanyika Julai 9, 2023.”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Uzbekistan Yahitimisha Kampeni “Hapana kwa Katiba iliyo na Mapungufu ya Mwanadamu! Ndiyo, kwa Katiba inayotokana na Qur’an na Sunnah”

Hizb ut Tahrir / Uzbekistan ilihitimisha kampeni yake chini ya kauli mbiu: "Hapana kwa katiba iliyo na mapungufu ya mwanadamu! Ndiyo kwa katiba inayotokana na Qur’an na Sunnah,” ambayo iliandaliwa wakati wa kura ya maoni ya katiba mpya ya Uzbekistan iliyoandaliwa mnamo tarehe 30 Aprili.

Soma zaidi...

Kiini cha Mgogoro wa Nishati kiko Wapi?

Kama ilivyotarajiwa, kwa kuanza kwa msimu wa baridi katika nchi yetu, kuharibika kwa mfumo wa nguvu kumejitokeza tena. Lakini mgogoro wa nishati wa mwaka huu ni mkubwa kuliko hapo awali kwa sababu kuna habari kwamba idadi ya watu waliokufa kutokana na gesi ya carbon monoxide iliongezeka kabla ya kuanza kwa msimu wa baridi.

Soma zaidi...

Kuharakisha Mahusiano Kati ya Serikali ya Uzbekistan na Marekani Kwaongeza Hofu ya Urusi

Serikali ya Urusi ilijibu hadharani kuimarisha uhusiano kati ya serikali ya Uzbekistan na Marekani. Hii ilikuwa wakati wa ziara ya Spika wa Jimbo la Duma la Urusi, Vyacheslav Volodin, huko Uzbekistan, ambayo ilianza Novemba 27, na katika tangazo rasmi la mwisho wa ziara hiyo lililowekwa kwenye tovuti ya Jimbo la Duma la Shirikisho la Urusi.

Soma zaidi...

Rambirambi

Leo, Jumatano, Septemba 14, 2022, mheshimiwa Sheikh Saeed Amin Saeed Amun amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89, naye ni baba wa Numan, ambaye, Mwenyezi Mungu akipenda, ni mmoja wa mabwana wa mashahidi huko Peponi. Mazishi yake yalifanyika saa 2:00 usiku kwa saa za Tashkent

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu