Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 344
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 344
Vichwa Vikuu vya Toleo 344
Imepita zaidi ya miaka tisa tangu serikali ya Pakistan ilipomteka nyara Mhandisi Naveed Butt Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, na tangu alipotekwa nyara hajulikani aliko!
Imepita zaidi ya miaka tisa tangu serikali ya Pakistan ilipomteka nyara Mhandisi Naveed Butt Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, na tangu alipotekwa nyara hajulikani aliko!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mkusanyiko wa kambi za Atma Magharibi viungani mwa Idlib,
Vichwa Vikuu vya Toleo 343
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika kambi za Deir Hassan viungani mwa Idlib baada ya swala ya Ijumaa ikiyataka makundi kufungua eneo la pwani ili kuiangusha serikali ya mhalifu.
Vichwa Vikuu vya Toleo 342
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo baada ya swala ya Ijumaa katika kambi ya Ataa iliyo katika mkusanyiko wa kambi za Al-Karame viungani mwa Idlib kikitoa wito kwa vikundi kufungua eneo la pwani ili kuiangusha serikali ya mhalifu.
Vichwa Vikuu vya Toleo 341