Jumanne, 24 Muharram 1446 | 2024/07/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Wilayah ya Lebanon: Kisimamo Mbele ya Ubalozi wa Misri "Al-Aqsa Yalilia Wanajeshi!"

Chini ya mazingira ya kupiga kambi kwa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na kuzingirwa kwake na taharuki ambayo imekuwa ikiendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut -Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa kisimamo mbele ya ubalozi wa Misri jijini Beirut kwa anwani: "Al-Aqsa Yalilia Majeshi!"

Soma zaidi...

Wilayah Pakistan: Kisimamo katika Jiji la Karachi cha Kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa Al-Mubarak!

Chini ya mazingira ya kambi katika ardhi iliyobarikiwa (Palestina) ya mashambuliozi ya mara kwa mara yanayofanywa na umbile la Kiyahudi kwenye Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na kumiminiwa mabomu ambayo yameendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa maandamano jijini Karachi ili kutoa wito na kutafuta nusra kutoka kwa majeshi ya Kiislamu, miongoni mwao likiwa ni jeshi la Pakistan, kuunusuru na kuukomboa Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu