Wilayah Syria: Kisimamo cha Deir Hassan "Waacheni Huru Watu wa Hima Ili Umma Uhuike!"
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rufaa kutoka mashababu wa Hizb ut Tahrir katika eneo la A'zaz kupinga uhalifu wa kukamatwa kwa wabebaji ulinganizi katika mji wa Idlib mikononi mwa kundi la Hay’at Tahrir Al-Sham.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika mji wa Al-Atareb viungani mwa Halfa iliandaa kisimamo baada ya swala ya Ijumaa kwa anwani: "Kwa Watu Wetu wa Daraa; Silaha Yenu ni Heshima Yenu Basi Jihadharini na Kuisalimisha!"
Vichwa Vikuu vya Toleo 346
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika kambi za Atma Magharibi mkabala na kijiji cha Ataa kwa anwani: "Hakika Limekwisha Semwa na Watu Wetu Huko Hauran;Tutazisalimisha Roho na Wala Hatutazisalimisha Silaha!"
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Julai 2021 M.