Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Khilafah Itakomesha Sera ya Ubinafsishaji!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Khilafah itakomesha sera ya ubinafsishaji iliyowekwa na Mfuko wa Fedha wa Kimataifa, IMF, ambayo imesababisha uharibifu wa sekta ya nishati, mafuta na gesi, na badala yake itatabikisha hukmu ya umilikaji wa umma katika Uislamu, kuhusiana na nishati na madini.