Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 544
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya kukutana na Makamu wa Rais wa Trump, J.D. Vance, Modi alisitisha Mkataba wa Maji wa Indus mnamo 23 Aprili 2025, akitishia usambazaji wa maji kwa Pakistan. Enyi, simba wa jeshi la Pakistan! Hakuna njia ila kukabiliana na mashambulizi ya pande mbili za Trump dhidi ya Umma. Nayo ni kwa kupitia muungano wa Umma wa Kiislamu chini ya Khilafah Rashida ya pili. Je, jeshi kubwa zaidi la Kiislamu lingewezaje kuacha heshima hii kwa jeshi jengine lolote?!
Video ya afisa mmoja kijana wa jeshi wa Pakistan akitaka kwenda Gaza imesambaa, na wakati huo huo, video nyingine ya afisa sawia wa Misri imesambaa. Enyi maafisa wa majeshi ya Waislamu! Ikiwa hamuwezi kuleta tama la maji au tembe ya tende mjini Gaza, mutawezaje kumleta afisa aliyebeba bunduki?!
Mnamo tarehe 11 Aprili 2025, Mufti Muhammad Taqi Usmani, jaji wa zamani wa Mahakama ya Shirikisho la Sharia, alisema kwamba jihad dhidi ya “Israel” ni faradhi kwa serikali zote za Waislamu. Hata hivyo, licha ya kutangaza kuwa ni wajibu, uongozi wa kijeshi haukukusanya vikosi vya kijeshi kuinusuru Gaza.
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi 18, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu 180,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Sweden iliandaa kisimamo mbele ya ubalozi wa Marekani katika mji mkuu, Stockholm, chenye kichwa “Risala kwa Majeshi ya Waislamu!”
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi 18, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi, kujeruhiwa na kupotezwa zaidi ya wanaume na wanawake 170,000 wa Kiislamu hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilaya ya Pakistan inaandaa msururu wa amali kwa kichwa: “Majeshi na Yaelekee Al-Aqsa”
zaidi ya miezi 18, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi, kujeruhiwa na kupotezwa kwa wanaume na wanawake wa Kiislamu zaidi ya elfu 170 hadi sasa, Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon iliandaa maandamano ambayo yalizunguka mitaa ya Tripoli, Syria, chini ya kichwa: “Damu ya Gaza ni Damu Yetu, Enyi Majeshi ya Umma!”
Matembezi yalioandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia yalitoka katika mji mkuu wa Tunis, baada ya swala ya Ijumaa, mnamo tarehe 13 Shawwal al-Khair 1446 H sawia na tarehe 11 Aprili 2025 M kuanzia Msikiti wa Al-Fath kunusuru watu wa Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa ulio mateka, ambayo yaliitishwa na watu wa Zaytouna Tunisia chini ya kichwa: “Gaza Inahitaji Majeshi Kuwapindua Watawala na Kutangaza Jihad”