Enyi Waislamu Mlioko India! Acheni “Hisia za Uchache” Mlizopachikwa Jivunieni kuwa Waislamu!
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
India hivi karibuni imepitisha sheria inayoitwa Sheria ya Mabadiliko ya Uraia mnamo Disemba 2019, itakayowapa uraia watu wa dini zilizo na watu wachache isipokuwa Waislamu kutoka nchi jirani.