Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake ya Ramadhan “Ramadhan ni Mwezi wa Ushindi”
- Imepeperushwa katika Habari ya Dawah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Karibu Ramadhan, mwezi wa ushindi, mwezi wa bishara njema, mwezi wa kujadidishwa imani na kutakasa nyoyo, mwezi wa utiifu na kushindana katika mambo mema. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu aliyetufikisha Ramadhan, mwezi huu mtukufu ambao tunahisi ndani yake maana ya rehema na umoja baina ya Waislamu. Karibu, Ramadhan.